Showing posts with label swahili jokes. Show all posts
Showing posts with label swahili jokes. Show all posts

Saturday, 30 August 2014

Gharama ya Wanawake

KWELI WANAWAKE WANA GHARAMA!!
HEBU CHEKI:-
Kila kiungo chao kinahitaji fedha.
Nywele zinataka Dawa.
Maskio yanahitaji Herini.
Macho yanataka Wanja na Shadow!
Pua inataka Kipini.
Mdomo unataka Lipstick.
Sura inataka Poda na Foundation.
Shingo inataka Cheni.
Matiti yanataka Sidiria.
Mikono inataka bangili.
Vidole vinataka Pete.
Kiuno kinataka Shanga.
Matako yanataka Chupi.
Miguu inataka Hina na Viatu,
Na
K*ma inataka Always.

Thursday, 7 November 2013

The best ati kwani jokes FROM ever since me day!!!


  1. Ati Arsenal Wameshinda..Kwani Newcastle Walikua Wamechora SABA?
  2. Ati Carpet 20,000/- ,Kwani Ni Ya Aladdin?
  3. Ati Unaambia Mluyha Acheze "ANGRY BIRDS". ,Eish! Kwani Unataka? Si Hapo Ntapata Mboga!!!
  4. Ati Chips 200 Kwani Waiter Anakam Akiwa Chips Funga
  5. Ati Mat Ni 300 Kwani Nashuka Na Viti?
  6. Ati University Students For Uhuruto Kwani Wao Ni HELB?
  7. Ati kibiriti ni 10 bob..kwani hiyo rhino iko hapo ni ya grade?
  8. Ati Kuona Simba 500? Kwani Ni Simba Wa Yuda?
  9. Eti Bra Ni 900!Kwani Ni Long Sleeved?
  10. Ati Unga Ya Ugali 200,Kwani Inakam Na Mboga?
  11. Ati Bra 1k Kwani Itafanya Boobs Ziwe Kama Za Minaj?
  12. Ati Kuingia Marine Park Ni 7k ,Kwani Wako Na Ile Whale Ilimeza Jonah?
  13. Ati Bash Ya Kuruka Mwaka Ni 5000/= Kwani Tunaruka Hadi 2014
  14. Ati Kiatu Ni 5k Kwani Inakam Na Barabara Yake??
  15. Ati Waterguard 500...Kwani Ni G4S Ndio Wanaguard Hiyo Maji?
  16. Ati Amarula Ni 5k Kwani Inakam Na Amapencils Na Amasharpeners Ama Amaset?
  17. Ati Nyama Kilo 800/- Kwani Hiyo Mbuzi Ilipigania Uhuru
  18. Ati Weddin Dress 60k Kwani Inakua Mosquito Net Usiku?
  19. Ati Tazama Chapaa, Kwani Macho Ni Ya Kubonga?
  20. Hehe Ati Nyanya Moja Ashu, Kwani Ina Kitunguu Ndani?
  21. Ati Condom 100/= Kwani Inakuja Na Anti-Virus?
  22. Ati Jersey Ya Arsenal Ni 3k, Kwani Inakuja Na Kamba Ya Kujinyonga?
  23. Ati Rain Coat 900/- Kwani Iko Na Heater Ndani??
  24. Ati Open Shoes 2500,Kwani Ikifika Tym Ya Matope Ama Mvua Inakua Closed Shoe?
  25. Eti Yai Moja Sh 2,000/= Kwani Amelitaga Mama Kayaii
  26. Ati Coat Ni 4000..Kwani Inauzwa Pamoja Na Mwili?
  27. Ati Ukiwa Mtoi Hukufanya "Arts And Craft"..Kwani Ulikua Unafanya WITCHCRAFT?
  28. Eti Padlock Ya Solex 1500 Kwani Inakuja Na Watchman?
  29. Ati Horror Movie Ni Sh 500/= Kwani Ni Shetani Mwenyewe Ameact ?
  30. Ati Kuku Ni 1200 Kwani Imesoma
  31. Ati "Me I Don't Trust Boys..All Boys Are The Same"..Kwani Tulizaliwa China?
  32. Ati Gas 5k,Kwani Ni Fabregas
  33. Ati Sabuni 200 Kwani Inaosha Dhambi
  34. Ati Radio Ya 80k, Kwani Inashika Hadi Police Station?
  35. Ati Weave 2k,Kwani Imetengenezwa Na Nywele Ya Samson?
  36. Ati Unaweka Kifuli Kwa Mlango Wa Choo Kwani Kuna Mwizi Wa Mavi.
  37. Ati Uhuruto For Statehouse.......... Kwani Hague Kulibomolewa??
  38. Ati Mvua Ni KIBAO Kwani Kiangazi Ni Blue MOON?
  39.  Ati Tai Ni 300bob, Kwani Inakuja Na Shingo
  40. Ati Kinyozi Mia Mbili, Kwani Unaacha Kichwa Ikinyole
  41. Ati Mr Berry Ni 10 Bob Kwani Inakuja Na Mrs Berry Wa
  42. Ati Kioo 10, 000 Kwani Ni ya Samsung?
  43. Ati kunyoa ni 500 bob, kwani inatoa hadi ujinga?
  44. Ati Apple Juice Ni 2k Kwani Imetengenezwa Na Adams Apple
  45. 2013 Imekawia.....Kwani Inakuja Na 2014?
  46. Ati Potty 2k Kwani Iko Na Flash?
  47. Eti Raila Atashinda. Kwani Omena Watavote?
  48. Ati TV 100k...kwani inaleta Beyonce akiwa Mokorino
  49. Ati Chips 200 Kwani Imepikwa Na Miadi
  50. Ati Kitanda Ni 50 K Kwani Ikona Bibi
  51. Ati Have A Blast Kwani Mi Ni Eastleigh?
  52. Ati Kuwatch Horror Movie Ni 1000/= Kwani Shetani Aliact Live.
  53. Ati Succes Card Ni 400,Kwani Ina Mwakenya
  54. Ati Pwani Si Kenya..Kwani Kenya Ni Pwanii!
  55. Ati
  56. Ati PK Ni 30 Bob , Kwani Imetafunwa Na Ferguson?
  57. Laptop Ya 70k Kwani Iko Na Windows Za Chuma?
  58. Ati Mahari 10M Kwani Mke Anakuja Na Ios?
  59. Ati Pk As
  60. Ati Unafunga choo na Padlock kwani kuna mwizi wa Shonde?
  61. hu Kwani Iko Na Kachumbari..
  62. Ati Unaenda Kuruka Mwaka Coast, Kwani Uliskia Mwaka Ilihepa Huku Ikaenda Coast?
  63. Ati Yai Boilo 30/= Kwani Kuku Ilitagia mayai Kenyatta Hospital?
For more jokes like this join the best jokes forum in Kenya  or like our jokes page on Facebook.

If you like share!!!

Tuesday, 5 November 2013

Wife: Who took my panties

A wife lost 3 panties in her house andn blamed her maid in front of her husband. The maid replied " Baba Mark si we unajua vizuri sana mimi huwa sivai suruali"

Mchwa na Nyoka Pangoni

Mchwa kaingia kwa uchi wa mwanamke akidhani ni pango. Alipotoka, wenzake wakamuuliza alikokuwa tangu jana. Akasema'LOL! Jana karibu nimalizwe, 'nimeingia pangoni..ghafla nyoka naye akaingia akitaka kuniuma. Akatia kichwa akitoa, akatia akitoa mara nyingi lakini hakunipata. Mwishowe akachoka akanitemea mate kisha akaenda zake'.

Utakula Kuku Yupi?

Uhali gani customer??
 Leo twapeana discount kwa wanunuzi wote wa kuku
 1.kuku kienyeji.
 2.kukuchoma. 
3.kukumiss 
4.kukuona 
5.kukualika 
7.kukupigia
8.kukupenda
9.kukumanga.
10.kukunyonya
11.kukudinya
12.kukudara
13.kukutomba


 Je utanunua kuku yupi?. . .