Tuesday, 16 September 2014

FUNNY SWAHILI SMS : FUNNIEST SWAHILI ONE LINERS

1.Kuna jamaa alkuwa atoka lamu akushukia hoteli moja mld akaitisha chai,alipoletewa ikiwa haina sukari akaitisha sukari kisha akauliza sukari bei gani akaambiwa ni bure akasema bac nifungieni kilo 2
2. Kuna jamaa aligongwa na gari akawa mahtuti wale jamaa wakumuhudumia wakasema leteni maziwa yule jamaa alogongwa akasema oya na mkate nusu
3.Kuna jamaa alikuwa amekula miraa mpaka akawa fullhandas akicheki nje aona mvua yanyesha akasema doh mke wangu atakuwa na wasi wasi kama sikuenda hapo hapo akachukuwa mwavuli akaenda kwa mke wake akamwambia mke wangu mvua yanyesha sana siezi kuja nyumbani nitakuja kesho
4. Kuna jamaa alishikwa akiiba sambusa akaambiwa utalipa sambusa kisha utaenda polisi akajibu sambusa siendi na polisi silipi
5. Saddam alimuuliza ashwarya hw is lyf ashwarya akajibu kabi kush kabi gam nae ashawarya akamuuliza saddam saddam akajibu KABI BUSH KABI BOM
6. Jamaa alitumwa gazeti la tarehe 10 na budake akakosa aliporudi kwa babako akarudi na magazeti 2 ya tarehe 5

No comments:

Post a Comment