Tuesday, 16 September 2014

Panya mgani ni mkali zaidi?

Panya watatu walikuwa wanabishana eti nani mnoma. Panya wa kwanza,''Mimi nimekula red cat mara tatu na sijaidedi...'' Panya wa pili,''aahhh,hi yo ni shadow.Mimi nimekula nyama ikiwa kwa mtego mara nne na sijaishikwa...' ' Panya wa tatu...''Mimi hata sijui mna argue nini nyinyi.Mimi,hii mimba nimebeba ni ya paka...'' . Lol .panya mgani MKARE??? A.1 B.2 C.3 .

No comments:

Post a Comment