Jamaa kaenda kunyolewa kinyozini. Kidogo,pakaingia
mrembo flani.
Jamaa akamwambia,
"Niaje.umenibamba.si kesho tupatane hapa
Tao."Mrembo akajibu, "mimi nimeolewa,ntamwambia aje
mume wangu?"Jamaa akajibu, "mwambie umeenda
kuwatembelea jamaa zako."Mrembo akajibu, "wewe
mwambie mwenyewe.ndo huyo anakunyoa!"
No comments:
Post a Comment