Showing posts with label cat jokes for kids. Show all posts
Showing posts with label cat jokes for kids. Show all posts
Tuesday, 16 September 2014
Panya mgani ni mkali zaidi?
Panya watatu walikuwa wanabishana eti nani mnoma.
Panya wa kwanza,''Mimi nimekula red cat mara tatu na sijaidedi...''
Panya wa pili,''aahhh,hi yo ni shadow.Mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara nne na sijaishikwa...' '
Panya wa tatu...''Mimi hata sijui mna argue nini nyinyi.Mimi,hii
mimba nimebeba ni ya paka...''
.
Lol .panya mgani MKARE???
A.1
B.2
C.3
.
Subscribe to:
Posts (Atom)