KWELI WANAWAKE WANA GHARAMA!!
HEBU CHEKI:-
Kila kiungo chao kinahitaji fedha.
Nywele zinataka Dawa.
Maskio yanahitaji Herini.
Macho yanataka Wanja na Shadow!
Pua inataka Kipini.
Mdomo unataka Lipstick.
Sura inataka Poda na Foundation.
Shingo inataka Cheni.
Matiti yanataka Sidiria.
Mikono inataka bangili.
Vidole vinataka Pete.
Kiuno kinataka Shanga.
Matako yanataka Chupi.
Miguu inataka Hina na Viatu,
Na
K*ma inataka Always.
No comments:
Post a Comment