- Ati Arsenal Wameshinda..Kwani Newcastle Walikua Wamechora SABA?
- Ati Carpet 20,000/- ,Kwani Ni Ya Aladdin?
- Ati Unaambia Mluyha Acheze "ANGRY BIRDS". ,Eish! Kwani Unataka? Si Hapo Ntapata Mboga!!!
- Ati Chips 200 Kwani Waiter Anakam Akiwa Chips Funga
- Ati Mat Ni 300 Kwani Nashuka Na Viti?
- Ati University Students For Uhuruto Kwani Wao Ni HELB?
- Ati kibiriti ni 10 bob..kwani hiyo rhino iko hapo ni ya grade?
- Ati Kuona Simba 500? Kwani Ni Simba Wa Yuda?
- Eti Bra Ni 900!Kwani Ni Long Sleeved?
- Ati Unga Ya Ugali 200,Kwani Inakam Na Mboga?
- Ati Bra 1k Kwani Itafanya Boobs Ziwe Kama Za Minaj?
- Ati Kuingia Marine Park Ni 7k ,Kwani Wako Na Ile Whale Ilimeza Jonah?
- Ati Bash Ya Kuruka Mwaka Ni 5000/= Kwani Tunaruka Hadi 2014
- Ati Kiatu Ni 5k Kwani Inakam Na Barabara Yake??
- Ati Waterguard 500...Kwani Ni G4S Ndio Wanaguard Hiyo Maji?
- Ati Amarula Ni 5k Kwani Inakam Na Amapencils Na Amasharpeners Ama Amaset?
- Ati Nyama Kilo 800/- Kwani Hiyo Mbuzi Ilipigania Uhuru
- Ati Weddin Dress 60k Kwani Inakua Mosquito Net Usiku?
- Ati Tazama Chapaa, Kwani Macho Ni Ya Kubonga?
- Hehe Ati Nyanya Moja Ashu, Kwani Ina Kitunguu Ndani?
- Ati Condom 100/= Kwani Inakuja Na Anti-Virus?
- Ati Jersey Ya Arsenal Ni 3k, Kwani Inakuja Na Kamba Ya Kujinyonga?
- Ati Rain Coat 900/- Kwani Iko Na Heater Ndani??
- Ati Open Shoes 2500,Kwani Ikifika Tym Ya Matope Ama Mvua Inakua Closed Shoe?
- Eti Yai Moja Sh 2,000/= Kwani Amelitaga Mama Kayaii
- Ati Coat Ni 4000..Kwani Inauzwa Pamoja Na Mwili?
- Ati Ukiwa Mtoi Hukufanya "Arts And Craft"..Kwani Ulikua Unafanya WITCHCRAFT?
- Eti Padlock Ya Solex 1500 Kwani Inakuja Na Watchman?
- Ati Horror Movie Ni Sh 500/= Kwani Ni Shetani Mwenyewe Ameact ?
- Ati Kuku Ni 1200 Kwani Imesoma
- Ati "Me I Don't Trust Boys..All Boys Are The Same"..Kwani Tulizaliwa China?
- Ati Gas 5k,Kwani Ni Fabregas
- Ati Sabuni 200 Kwani Inaosha Dhambi
- Ati Radio Ya 80k, Kwani Inashika Hadi Police Station?
- Ati Weave 2k,Kwani Imetengenezwa Na Nywele Ya Samson?
- Ati Unaweka Kifuli Kwa Mlango Wa Choo Kwani Kuna Mwizi Wa Mavi.
- Ati Uhuruto For Statehouse.......... Kwani Hague Kulibomolewa??
- Ati Mvua Ni KIBAO Kwani Kiangazi Ni Blue MOON?
- Ati Tai Ni 300bob, Kwani Inakuja Na Shingo
- Ati Kinyozi Mia Mbili, Kwani Unaacha Kichwa Ikinyole
- Ati Mr Berry Ni 10 Bob Kwani Inakuja Na Mrs Berry Wa
- Ati Kioo 10, 000 Kwani Ni ya Samsung?
- Ati kunyoa ni 500 bob, kwani inatoa hadi ujinga?
- Ati Apple Juice Ni 2k Kwani Imetengenezwa Na Adams Apple
- 2013 Imekawia.....Kwani Inakuja Na 2014?
- Ati Potty 2k Kwani Iko Na Flash?
- Eti Raila Atashinda. Kwani Omena Watavote?
- Ati TV 100k...kwani inaleta Beyonce akiwa Mokorino
- Ati Chips 200 Kwani Imepikwa Na Miadi
- Ati Kitanda Ni 50 K Kwani Ikona Bibi
- Ati Have A Blast Kwani Mi Ni Eastleigh?
- Ati Kuwatch Horror Movie Ni 1000/= Kwani Shetani Aliact Live.
- Ati Succes Card Ni 400,Kwani Ina Mwakenya
- Ati Pwani Si Kenya..Kwani Kenya Ni Pwanii!
- Ati
- Ati PK Ni 30 Bob , Kwani Imetafunwa Na Ferguson?
- Laptop Ya 70k Kwani Iko Na Windows Za Chuma?
- Ati Mahari 10M Kwani Mke Anakuja Na Ios?
- Ati Pk As
- Ati Unafunga choo na Padlock kwani kuna mwizi wa Shonde?
- hu Kwani Iko Na Kachumbari..
- Ati Unaenda Kuruka Mwaka Coast, Kwani Uliskia Mwaka Ilihepa Huku Ikaenda Coast?
- Ati Yai Boilo 30/= Kwani Kuku Ilitagia mayai Kenyatta Hospital?
If you like share!!!
No comments:
Post a Comment