Otis, a form 4 student at Osumu secondary school, sitting for his KCSE insha paper:
Endelesha hadithi ifuatayo.... Nilipofika nyumbani nilimpata mama ameshikwa na bumbuwazi, kwani alikuwa amepigwa na butwa...! (Okong'o) .... Lo! Sikungoja hata kidogo! Kwanini mbumbuwazi anasika mama yangu? Nilimsika nakumrusa kwa ukuta ili awache mamangu. Nikarika juu nikasika huyo Butwa, nikampiga kwelikweli. Hawezi kupiga mama hivyo. Nikamrusa huko nikamrusia mawe awachane na mama. Ye akakimbia ndio nikangojea baba akuje.
No comments:
Post a Comment