Monday, 10 March 2014

Ata Jokes

*ata panga iwe kali aje haiwezi
kukata kiu
 *ata kinyozi awe hodari
*aje hawezi nyoa vichwa vya habari
*ata uwe msafi aje huwezi nawa
*mikono wakati wa kukula hongo
*ata uwe na magari elfu moja utaenda choo kwa miguu
*atauzame aje huwezi toka na samaki
katika dimbwi la mapenzi
 *atahistoria ya marehemu iwe nzuri aje
haipigiwi makofi
 *ata fundi awe hodari aje hawezi repair breaking news