Sunday, 13 July 2014

Hatusemi Jokes

1.Hatusemi Ofocando,,,tunasema
Avocado,,unaskia Kikuyu ii??Funda

2.Hatusemi Sida,,tunasema Shida,,poa
Jaluo ii??kisigino ya mamba ww

3.hatusemi Nyenge,,tunasema
Nyege,,unaskia Mkambodia ii?surwa!!

4.hatusemi Bahale yake,,tunasema Mahali
yake,,unaskia Woria ii??kaboooom,,oh
sorry,,kubaff!!

5.hatusemi Fimbo ina jaba,,tunasema
Fimbo ina chapa,,sawa jinga ya Kale ii??
sadaff!

Desperation

Chali ako kwa mat..dem yake anamsendia
katext,'SEX TONIGHT?'
Chali anabambika,naye anatype
'YES',kabla asend tu nangos inasanywa..
Badala chali a shout 'mwizi' anadai ''finya
Ok alafu uende na simu"